All documents from essays.org are for research assistance purpose only. Do not present the material as your own work!
bookmark & share the essay...
All /
UTANGULIZI
Utangulizi ni istilahi ya kijumla inayomaanisha miongozo inayomwekeza msomaji wa kazi ya tasihi kuifahamu kazi ya tasihi katika vipengele vyake. Utangulizi husaidia sana haswa katika kuelewa manthili ambayo hupatikana katika matumizi ya lugha mbalimbali kama vile ujambuzi wa fasihi.
Details
language |  | other - swahili |
wordcount |  | 2075 (cca 5.5 pages) |
contextual quality |  | N/A |
language level |  | N/A |
price |  | free |
sources |  | 8 |
Table of contents
none
Preview of the essay: UTANGULIZI
Historia ya semiotiki imefuata mikondo mablimbali. Haiwezekani ikachunguzwa vizuri bila ya kubaini matapo yaliyoiwekea misingi kuanzia urasimu wa kirusi, shule ya Prague hadi kufikia hatua yake ya leo ambapo inahusishwa zaidi na wahakiki kama limberto Eco, A.J Greimas, T. Todoro na Roland Barthes.
Kuzuka kwa nadharia hii kunahusishara kwa kiasi kikubwa na miaka ya 1970. wakati ambapo kulikuwa na mwelekeo mkubwa wa kuuasi na kuuacha umuundo ambao ulikuwa umetawala uhakiki wa kifasihi katika miaka ya 1960, (Royle, 1998) licha ya kuzuka kwake wakati huo, semiotiki imefaidi kutokana na mawazo ya mwana isimu wa ki-siwizi ferdinard de Soussure, pmaoja na mwanafalsafa wa ...
... UDHAIFU Nadharia hi inasisitiza sana kwenye lugha nyingine zinazoonekana ndogo badala ya kujishughulika na fasihi kwenye upana wake. Kwa njia hii mtazamo huu unaishia kutia sifa zile zile unazopania kuzikwepa. HITIMISHO ➢ Nadharia hii huonyehsa jinsi ishara zinavyohusiana kimantiki. ➢ Ili zilete maana maalumu, unakidi wa ishara hufanyika ➢ Katika tamaduni mahsusi ambapo mifumo ya ishara inajulikana,inatumika na kufahamika na wanajami waliolelewa katika utamaduni huo. Pia, mwana sanaa ni kiumbe wa utamaduni aliyefikia ubinafsi wake kupitia lugha.
Essay is in categories
/
Humanistic Studies
/
Literature
/
/
Humanistic Studies
/
Culture
/
Comments
none